
Weka utaratibu wa kumuona daktari/mtaalamu wa mifugo angalau kwa mwezi mara moja. hii itakusaidia sana.
Kama ulikuwa hufahamu, @kukuproject tunakutembelea hadi nyumbani kwako na kuzungumza nawe. wataalamu wetu watakushauri na kukusaidia pia.
Tupigie 0715908307/0653691138/0678226498.
1 comment:
garama zenu zikoje kututembelea kuwaona kuku?
Post a Comment