Showing posts with label wateja wetu. Show all posts
Showing posts with label wateja wetu. Show all posts

Sunday, 11 September 2016

SAFARI YETU YA KUMTEMBELEA MTEJA WETU MUSTAFA MJAKA @MFUGAJI WA KUROILER

Ndugu Mustafa Mjaka yeye ni mfugaji alieanza na vifaranga  700 vya kuroiler, Ni mkazi wa Majoe... kwa kweli amejitahidi sana katika kuwafuga kuku wake kisasa na hivyo kuepuka changamoto za magonjwa...
















































AFARI YETU YA KUMTEMBELEA MTEJA WETU KOKU @MFUGAJI WA KUROILER

Yeye ni mkazi wa Mongo la ndege. Alianza kufuga kuku 200 wa kuroiler
Kilichotuvutia zaidi ni pale alipotujulisha kuwa alifuata maelekezo yote na tangu vifaranga vya siku moja hadi kufikisha miezi 10 hakuna kuku aliyekufa kwa ugonjwa wala hakuna kuku aliye ugua ugonjwa wa aina yoyote.Hongera sana Mama KOKU.

Hizi ni picha zaidi ya mifugo yake