KUKU PROJECT TANZANIA LIMITED (KPTL) ni kampuni inayojishughulisha na masuala mazima ya ufugaji wa kuku. Kampuni hii ilianzishwa kwa lengo maalum la kusaidia wajasiriamali katika kutatua changamoto zinazowakabili katika ufugaji.
Kuku Project Tunauza vifaa mbali mbali vya ufugaji na mashine mbali mbali kama Incubators (mashine za kututolesha ) ,n.k
Pia tunatoa ushauri kwa wadau wote waliojikita katika secta ya ufugaji ili kuboresha na kukuza biashara zao.
Kuku Project pia tunauza na kusambaza mbegu mpya ya kuku aina ya kroiler wenye asili ya IIndia.
maelezo zaidi kuhusu sisi TUPIGIE
No comments:
Post a Comment