Tuesday 2 August 2016

USISUBIRI KUKU WAKO WAFE NDIO UMWONE MTAALAMU!!!! Fanya Hivi*



Weka utaratibu wa kumuona daktari/mtaalamu wa mifugo angalau kwa mwezi mara moja. hii itakusaidia sana. 
Kama ulikuwa hufahamu, @kukuproject tunakutembelea hadi nyumbani kwako na kuzungumza nawe. wataalamu wetu watakushauri na kukusaidia pia.
Tupigie 0715908307/0653691138/0678226498.

1 comment:

Interestedtips said...

garama zenu zikoje kututembelea kuwaona kuku?