Yeye ni mkazi wa Mongo la ndege. Alianza kufuga kuku 200 wa kuroiler
Kilichotuvutia zaidi ni pale alipotujulisha kuwa alifuata maelekezo yote na tangu vifaranga vya siku moja hadi kufikisha miezi 10 hakuna kuku aliyekufa kwa ugonjwa wala hakuna kuku aliye ugua ugonjwa wa aina yoyote.Hongera sana Mama KOKU.
Hizi ni picha zaidi ya mifugo yake
No comments:
Post a Comment